Ufafanuzi wa pongeza katika Kiswahili

pongeza

kitenzi elekezi

  • 1

    -pa mtu pongezi kwa jambo zuri alilofanya au alilopata.

    hani

Matamshi

pongeza

/pɔngɛza/