Ufafanuzi msingi wa ponya katika Kiswahili

: ponya1ponya2

ponya1

nominoPlural ponya

  • 1

    dawa inayomfanya mtu kuondokewa na maradhi aliyokuwa nayo.

    ‘Kila dawa alikula lakini hazikumfaa ila koto ndiyo iliyokuwa ponya yake’

Matamshi

ponya

/pɔɲa/

Ufafanuzi msingi wa ponya katika Kiswahili

: ponya1ponya2

ponya2

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

  • 1

    toa katika hali ya ugonjwa.

    vua, nusuru, okoa, afu

Matamshi

ponya

/pɔɲa/