Ufafanuzi msingi wa pooza katika Kiswahili

: pooza1pooza2

pooza1

kitenzi sielekezi~ea, ~eka, ~esha

 • 1

  pungua au kosa nguvu za kawaida.

  ‘Mkono umepooza’

 • 2

  haribika kwa tunda na kukosa ladha ya kawaida.

  ‘Embe limepooza’

 • 3

  fufumaa

Matamshi

pooza

/pɔ:za/

Ufafanuzi msingi wa pooza katika Kiswahili

: pooza1pooza2

pooza2

nominoPlural mapooza

 • 1

  kitu k.v. tunda kilichoharibika kwa kukosa ladha yake ya kawaida.

  ‘Haya ni maembe au ni mapooza?’

Matamshi

pooza

/pɔ:za/