Ufafanuzi wa poroja katika Kiswahili

poroja

kivumishi

  • 1

    -a majimaji.

    ‘Wali huu ni poroja mno, haukukauka’

Matamshi

poroja

/pɔrɔʄa/