Ufafanuzi msingi wa posa katika Kiswahili

: posa1posa2

posa1

kitenzi elekezi

  • 1

    peleka maombi ya kutaka kuoa kwa wazazi wa binti anayetarajiwa kuolewa.

    chumbia

Matamshi

posa

/pɔsa/

Ufafanuzi msingi wa posa katika Kiswahili

: posa1posa2

posa2

nomino

  • 1

    maombi ya kutaka kuoa yanayopelekwa kwa wazazi wa binti anayetarajiwa kuolewa.

Matamshi

posa

/pɔsa/