Ufafanuzi msingi wa posho katika Kiswahili

: posho1posho2

posho1

nominoPlural posho

Matamshi

posho

/pɔ∫ɔ/

Ufafanuzi msingi wa posho katika Kiswahili

: posho1posho2

posho2

nominoPlural posho

  • 1

    pesa apewazo mtu kugharimia safari au shughuli maalumu.

    masurufu

  • 2

    malipo yasiyo mshahara apewayo mtu kwa kazi fulani.

Matamshi

posho

/pɔ∫ɔ/