Ufafanuzi msingi wa posti katika Kiswahili

: posti1posti2posti3

posti1

kitenzi elekezi

  • 1

    peleka barua au kifurushi kwa njia ya posta.

Asili

Kng

Matamshi

posti

/pɔsti/

Ufafanuzi msingi wa posti katika Kiswahili

: posti1posti2posti3

posti2

kitenzi elekezi

  • 1

    pangia mtu kazi na kumtuma aende aifanye kazi hiyo mahali fulani.

Asili

Kng

Matamshi

posti

/pɔsti/

Ufafanuzi msingi wa posti katika Kiswahili

: posti1posti2posti3

posti3

nomino

  • 1

    nafasi ya kazi.

Asili

Kng

Matamshi

posti

/pɔsti/