Ufafanuzi wa potoa katika Kiswahili

potoa

kitenzi sielekezi~ka, ~lea, ~sha

 • 1

  fanya kitu kiende kombo.

 • 2

  fanya kitu kiharibike kwa kutokifanya kama inavyofaa.

  ‘Mipango yetu yote ameipotoa’
  fisidi

 • 3

  kengeua

Matamshi

potoa

/pɔtɔwa/