Ufafanuzi wa potosha katika Kiswahili

potosha

kitenzi elekezi

  • 1

    sababisha mwingine kupotoka au kufuata njia isiyo sawa.

    kosesha

Matamshi

potosha

/pɔtɔ∫a/