Ufafanuzi wa potovu katika Kiswahili

potovu

kivumishi

  • 1

    -enye kwenda kombo; -enye sifa mbaya.

  • 2

    -enye kuharibika.

Matamshi

potovu

/pɔtɔvu/