Ufafanuzi wa programu katika Kiswahili

programu

nominoPlural programu

  • 1

    mpango wa mambo ambayo mtu au kampuni inakusudia kuyafanya.

  • 2

    mfumo wa kompyuta ulioandaliwa kwa ajili ya kutenda kazi fulani k.v. kuandaa bili, kutengeneza vitabu au kupeleka na kupokea baruapepe.

Asili

Kng

Matamshi

programu

/prɔgramu/