Ufafanuzi wa propaganda katika Kiswahili

propaganda

nominoPlural propaganda

  • 1

    habari zilizotiwa chumvi sana au za uongo zitolewazo kwa lengo la kushawishi watu kuamini au kukubali jambo fulani.

    ‘Eneza propaganda’

Asili

Kng

Matamshi

propaganda

/prɔpaganda/