Ufafanuzi wa protini katika Kiswahili

protini

nominoPlural protini

  • 1

    kirutubisho cha kujenga mwili kilichopo katika vyakula k.v. nyama, ute wa yai au samaki ambacho ni mchanganyiko wa kaboni, hidrojeni, oksijeni, nitrojeni, chuma, n.k..

Asili

Kng

Matamshi

protini

/prɔtini/