Ufafanuzi wa protokali katika Kiswahili

protokali

nominoPlural protokali

  • 1

    kanuni au mwenendo uliokubalika kutumika, hasa na wawakilishi wa serikali katika shughuli zao za kazi.

    itifaki

Asili

Kng

Matamshi

protokali

/prɔtɔkali/