Ufafanuzi wa pufya katika Kiswahili

pufya

nomino

  • 1

    dawa inayoaminiwa kuwa inatia nguvu nyingi mwilini na husadikiwa kwamba mtu huweza kufanyiwa dawa hiyo akawa na nguvu kama za simba.

    muku