Ufafanuzi wa puju katika Kiswahili

puju

nominoPlural puju

  • 1

    samaki mwenye mdomo mrefu unaoonekana kama pembe moja, ana ngozi ngumu ambayo huchunwa kama ya mnyama.

Matamshi

puju

/puʄu/