Ufafanuzi msingi wa pujua katika Kiswahili

: pujua1pujua2

pujua1

kitenzi elekezi

  • 1

    ondoa ngozi kwa kukwaruza.

    bujua

Matamshi

pujua

/puʄuwa/

Ufafanuzi msingi wa pujua katika Kiswahili

: pujua1pujua2

pujua2

kitenzi elekezi

  • 1

    ondoa uzuri au thamani ya kitu.

Matamshi

pujua

/puʄuwa/