Ufafanuzi msingi wa pukusa katika Kiswahili

: pukusa1pukusa2pukusa3pukusa4

pukusa1

nominoPlural pukusa

 • 1

  tunzo anayopewa mwari.

Matamshi

pukusa

/pukusa/

Ufafanuzi msingi wa pukusa katika Kiswahili

: pukusa1pukusa2pukusa3pukusa4

pukusa2

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  toa zawadi kwa mtu kwa ajili ya jema alilolifanya.

Matamshi

pukusa

/pukusa/

Ufafanuzi msingi wa pukusa katika Kiswahili

: pukusa1pukusa2pukusa3pukusa4

pukusa3

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  angusha kitu k.v. matunda, maua au majani kwa kutikisa mti au mmea.

 • 2

  fikicha

Matamshi

pukusa

/pukusa/

Ufafanuzi msingi wa pukusa katika Kiswahili

: pukusa1pukusa2pukusa3pukusa4

pukusa4

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  fanya vitobo na kutoa ungaunga k.v. wafanyavyo wadudu katika nafaka, mbao, n.k..

  bonga

Matamshi

pukusa

/pukusa/