Ufafanuzi wa pukute katika Kiswahili

pukute

nomino

  • 1

    wali uliopikwa kwa kumwaga maji kabla ya kukauka ili kufanya punje za mchele zisishikane.

Matamshi

pukute

/pukutÉ›/