Ufafanuzi wa puleki katika Kiswahili

puleki

nomino

  • 1

    vipande vidogovidogo vya bati au jaribosi ving’aavyo sana vinavyotumika kupambia nguo au karatasi za mapete.

Asili

Kaj

Matamshi

puleki

/pulɛki/