Ufafanuzi wa puma katika Kiswahili

puma

kitenzi sielekezi~isha

  • 1

    toa pumzi kwa nguvu.

    tweta

  • 2

    pigapiga na kutoa mchomo na mvuto wa maumivu k.v. jipu linapoiva.

    pwita

Matamshi

puma

/puma/