Ufafanuzi wa pumba katika Kiswahili

pumba

nominoPlural mapumba

 • 1

  makapi ya nafaka.

  wishwa

 • 2

  uchafu ndani ya govi.

 • 3

  punje zinazobaki mdomoni baada ya kutafunwa nafaka.

Matamshi

pumba

/pumba/