Ufafanuzi wa Pumbuji katika Kiswahili

Pumbuji

nominoPlural Pumbuji

  • 1

    mji wa kale Kusini ya Bagamoyo ambapo panaaminiwa kuwa ndipo chimbuko la watu wa kabila la Wamrima wa Mkoa wa Pwani, Tanzania.

Matamshi

Pumbuji

/pumbuʄi/