Ufafanuzi wa pumzika katika Kiswahili

pumzika

kitenzi sielekezi~ia

  • 1

    pata muda wa kutuliza mwili baada ya shughuli fulani.

    farijika, oya, hema, pumua

Matamshi

pumzika

/pumzika/