Ufafanuzi wa pumzisha katika Kiswahili

pumzisha

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    -pa mtu nafasi ili atulize mwili wake.

  • 2

    sitisha kitu, agh. mashine, kwa muda fulani.

Matamshi

pumzisha

/pumzi∫a/