Ufafanuzi msingi wa punga katika Kiswahili

: punga1punga2punga3punga4punga5

punga1

nominoPlural punga

 • 1

  shuke la maua dume ya mhindi au nyasi.

Matamshi

punga

/punga/

Ufafanuzi msingi wa punga katika Kiswahili

: punga1punga2punga3punga4punga5

punga2

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa, ~ana

 • 1

  toa ishara kwa kupepea mkono.

Matamshi

punga

/punga/

Ufafanuzi msingi wa punga katika Kiswahili

: punga1punga2punga3punga4punga5

punga3

kitenzi sielekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa, ~ana

 • 1

  kaa nje na kujipumzisha.

Matamshi

punga

/punga/

Ufafanuzi msingi wa punga katika Kiswahili

: punga1punga2punga3punga4punga5

punga4

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa, ~ana

 • 1

  fanyia mgonjwa tiba kwa kumpigia ngoma pepo anayedhaniwa kuwa anamsumbua.

Matamshi

punga

/punga/

Ufafanuzi msingi wa punga katika Kiswahili

: punga1punga2punga3punga4punga5

punga5

kitenzi sielekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa, ~ana

 • 1

  pungua nguvu ya joto k.v. jua.

  ‘Jua limepunga’

Matamshi

punga

/punga/