Ufafanuzi msingi wa punguani katika Kiswahili

: punguani1punguani2

punguani1

nominoPlural punguani

  • 1

    mtu aliyepungua akili.

    afkani, butu, majununi

Matamshi

punguani

/punguwani/

Ufafanuzi msingi wa punguani katika Kiswahili

: punguani1punguani2

punguani2

kivumishi

  • 1

    -enye kupungua au kuwa pungufu.

    ‘Akili punguani’

Matamshi

punguani

/punguwani/