Ufafanuzi wa punguza katika Kiswahili

punguza

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya jambo liwe pungufu.

    ‘Si kawaida yake kupunguza bei ya bidhaa hizi’
    kasiri, nakisi

Matamshi

punguza

/punguza/