Ufafanuzi wa punja katika Kiswahili

punja

kitenzi elekezi

  • 1

    -pa kidogo kuliko inavyostahiki.

    nyenga, lemba, hadaa

Matamshi

punja

/punʄa/