Ufafanuzi wa punju katika Kiswahili

punju

nominoPlural punju

  • 1

    sumu inayotengenezwa kutokana na kichwa cha nyoka mweusi, utumbo wa mjusi na kinyonga, ambayo wachawi hutumia kuulia.

Matamshi

punju

/punʄu/