Ufafanuzi wa puo katika Kiswahili

puo

nominoPlural puo

  • 1

    maongezi ya upuuzi yaliyo hafifu.

    ‘Puo zinamfanya Juma asifanye kazi vizuri’

Matamshi

puo

/puwɔ/