Ufafanuzi wa pupua katika Kiswahili

pupua

kitenzi elekezi~ka, ~lia, ~liwa, ~sha

  • 1

    ondoa majani kwenye mmea kwa kuyavuta kwa mkono.

    pura

Matamshi

pupua

/pupuwa/