Ufafanuzi wa pupusa katika Kiswahili

pupusa

kitenzi elekezi

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    fanya tanga lipeperuke kwa upepo kwa kufungua kamba ya demani.

Matamshi

pupusa

/pupusa/