Ufafanuzi wa puruka katika Kiswahili

puruka

kitenzi sielekezi

  • 1

    enda juu kama afanyavyo ndege au wadudu wenye mbawa.

    ruka

Matamshi

puruka

/puruka/