Ufafanuzi wa purukusha katika Kiswahili

purukusha

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    dharau kitu kwa kusingizia kutoelewa, kutosikia au kutokuwa na habari.

    puuza

Matamshi

purukusha

/puruku∫a/