Ufafanuzi wa purukushani katika Kiswahili

purukushani

nominoPlural purukushani

  • 1

    hali ya kujitia hamnazo.

  • 2

    hali ya kudharau jambo kwa kusingizia kutosikia, kutoelewa au kutokuwa na habari.

    hamnazo

Matamshi

purukushani

/puruku∫ani/