Ufafanuzi wa pusa katika Kiswahili

pusa

kitenzi sielekezi

  • 1

    acha kunyesha.

    ‘Mvua imepusa’
    anuka, kesa

Matamshi

pusa

/pusa/