Ufafanuzi wa pute katika Kiswahili

pute

nominoPlural pute

  • 1

    tendo la kupokonya kitu kwa mtu kutoka mkononi, kumputa mtu kitu.

Matamshi

pute

/putɛ/