Ufafanuzi wa puto katika Kiswahili

puto

nominoPlural maputo

  • 1

    kifuko cha kughushi kinachojazwa hewa na hutumiwa kuchezea, agh. na watoto.

    baluni, pulizo

Matamshi

puto

/putɔ/