Ufafanuzi wa puuza katika Kiswahili

puuza

kitenzi elekezi

  • 1

    acha kutia maanani.

    fedhehi, bekua, beua, beza, dharau, purukusha, tweza

Matamshi

puuza

/pu:za/