Ufafanuzi msingi wa pwa katika Kiswahili

: pwa1pwa2

pwa1

kitenzi sielekezi

  • 1

    toka kwa maji kutoka ufukoni na kwenda mpaka sehemu ya mbali ya bahari.

    ‘Maji yamekupwa’
    fuma

Matamshi

pwa

/pwa/

Ufafanuzi msingi wa pwa katika Kiswahili

: pwa1pwa2

pwa2

nominoPlural pwa

Matamshi

pwa

/pwa/