Ufafanuzi wa pwaa katika Kiswahili

pwaa

nominoPlural pwaa

  • 1

    sehemu ya bahari iliyoachwa kavu baada ya maji kutoweka.

  • 2

    sehemu ya bahari inayoungana na nchi kavu.

    ufuko

Matamshi

pwaa

/pwa:/