Ufafanuzi wa pweteka katika Kiswahili

pweteka

kitenzi sielekezi

  • 1

    kaa au jitupa mahali bila ya utaratibu au kujishikiliza, hasa kwa sababu ya kuchoka.

Matamshi

pweteka

/pwɛtɛka/