Ufafanuzi wa pweza katika Kiswahili

pweza

nominoPlural pweza

  • 1

    mnyama wa baharini mwenye umbo la duara lililozungukwa na mikono au minyiri minane.

    ‘Ni mimi pweza mwenye mikia minane’

Matamshi

pweza

/pwɛza/