Ufafanuzi msingi wa pwita katika Kiswahili

: pwita1pwita2

pwita1

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    toa pumzi kwa nguvu.

    tweta, hema, bweta

Matamshi

pwita

/pwita/

Ufafanuzi msingi wa pwita katika Kiswahili

: pwita1pwita2

pwita2

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    pigapiga na kutoa mchomo na mvuto wa maumivu k.v. jipu linapoiva.

    puma

Matamshi

pwita

/pwita/