Ufafanuzi msingi wa Rabana katika Kiswahili

: Rabana1rabana2

Rabana1

nominoPlural maRabana

Asili

Kar

Matamshi

Rabana

/rabana/

Ufafanuzi msingi wa Rabana katika Kiswahili

: Rabana1rabana2

rabana2

kielezi

  • 1

    bila ya nguo.

    ‘Wakati wakipigana, alimvua mwenzake nguo akamwacha rabana’
    uchi

Asili

Kar

Matamshi

rabana

/rabana/