Ufafanuzi wa radidi katika Kiswahili

radidi

kivumishi

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    -enye kurudiwarudiwa.

Asili

Kar

Matamshi

radidi

/radidi/

Ufafanuzi wa radidi katika Kiswahili

radidi

kitenzi sielekezi

  • 1

    rudia kitendo fulani.

Asili

Kar

Matamshi

radidi

/radidi/