Ufafanuzi wa rafi katika Kiswahili

rafi

kivumishi

  • 1

    -isiyopunguzwa.

    ‘Bei rafi bei ambayo haipunguzwi’

Asili

Kar

Matamshi

rafi

/rafi/