Ufafanuzi msingi wa rafu katika Kiswahili

: rafu1rafu2

rafu1

nominoPlural rafu

 • 1

  ubao uliogongomewa ukutani au kabati lililo wazi na lenye kukatwa vyumba linalotumiwa kuwekea vitu k.v. vitabu au vyombo.

Asili

Kar

Matamshi

rafu

/rafu/

Ufafanuzi msingi wa rafu katika Kiswahili

: rafu1rafu2

rafu2

nominoPlural rafu

 • 1

  jambo linalotendwa kinyume cha kanuni zilizowekwa k.v. katika mpira.

  ‘Mchezaji yule ana rafu sana’

 • 2

  jambo linalotendwa kinyume cha kanuni zilizowekwa k.v. katika mazungumzo.

  ‘Amekuta tunazungumza akatufanyia rafu’
  fujo

Asili

Kng

Matamshi

rafu

/rafu/