Ufafanuzi wa rahani katika Kiswahili

rahani

nominoPlural rahani

  • 1

    chumba maalumu kilicho katika nyumba au chombo cha bahari k.v. jahazi, meli, n.k. kinachotumiwa kuwekea vitu k.v. vyombo.

Matamshi

rahani

/rahani/